Ndiyo...si unajua Insta inavyokula bundle Auntie...Instagram niisahau kivipi yaani hizo gb huingii insta auntie ebu nifafanulie na elfu 3 wanaaanzia gb ngapi
Sasa bundle bila kuingia insta kweliii. [emoji1787] hili litakuwa bunle kama la tigo la social
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee si anafunga pm au
Balaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwamba vyuma vimekaza sanaaa
Auntie sijui hata[emoji1787]Hivi huyu mzee kweli ni mjeda auntie
Eenh ebu nitajaribu jamani wanakupa na dk si ndio au bundle peke yakeNdiyo...si unajua Insta inavyokula bundle Auntie...
3,000/= Unapata Gb 1.5 au 6 kama sikosei.. na Halikai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijauona huo uziBalaaaaa
Nimekumbuka ule uzi wa yule member analalamika Wanawake tumekuwa ombaomba huko Watsap[emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa naonaga anaitwa mjeda na we auntie umemwitaAuntie sijui hata[emoji1787]
sawa niweke hapa vocha au nifanyaje,nipe maelekezo shangaziHahahha we mzee nilikujibu huwa natumia tigo na voda
hahahahahahaHuwa naonaga anaitwa mjeda na we auntie umemwita
hahahahaha, ni voda ? Nikumbushe tuvilainishe kdg kwa vochaBalaaaaa
Nimekumbuka ule uzi wa yule member analalamika Wanawake tumekuwa ombaomba huko Watsap[emoji28][emoji28][emoji28]
We mzee si unachart yangu pm au uliifuta ukiweka hapa wataiwahi jamani au nikuje pmsawa niweke hapa vocha au nifanyaje,nipe maelekezo shangazi
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha, ni voda ? Nikumbushe tuvilainishe kdg kwa vocha
Kuna Dakika pekee..Eenh ebu nitajaribu jamani wanakupa na dk si ndio au bundle peke yake
Upo una' trend huko Auntie....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijauona huo uzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa naonaga anaitwa mjeda na we auntie umemwita
Ila MC[emoji119]Sawa bhana....sawa niweke hapa vocha au nifanyaje,nipe maelekezo shangazi
Ni Voda Rafiki...hahahahaha, ni voda ? Nikumbushe tuvilainishe kdg kwa vocha
Auntie no. Yangu unayo[emoji28]We mzee si unachart yangu pm au uliifuta ukiweka hapa wataiwahi jamani au nikuje pm
Dk za kupiga ninazo unlimitedKuna Dakika pekee..
Internet hivyo hivyo....
Halafu kuna Combo... hiyo ndiyo unapata kila kitu hadi Msg za kawaida...
Hebu jiunge fasta basi unipigie Aunty ake[emoji28]
Usihangaike auntie kunitag sitapata notificationUpo una' trend huko Auntie....
Ngoja nikiuona tena nakutag [emoji1787]