Makapuku Forum

Kuna mtu moyo wake umekudondokea Auntie?[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nikuletee Auntie
Sasa Auntie....Iko hivi,

Wanapokuuliza Kiasi...wamekuelekeza kuanza na elfu 3 hicho cha wiki...unaandika amount unayotaka...kuanzia hicho kiasi.... kama ni elfu 3, 5, nakuendelea....

Unaweza kuweka elfu 10 wanakupa GB 5.5 kwa wiki nadhani.. si haba... Ila Instagram itabidi uisahau kwa muda[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…