Makapuku Forum

...ukipotea bila kunipa mawasiliano yako nitaitisha press na naweka tangazo ITV Daima lirushwe kwenye taarifa ya habari
 
Ameen auntie [emoji120][emoji120] yaani auntie we ndio mimi nimekuwa mvivu na jf sasa hivi na haya mambo za bundle ndio kabisaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuchomea?
...kuchomea tena sio kidogo. Majuzi anko Lee aliniharibu kwa aunt yangu so akaona aniharibie na mimi kumbe tayari nishamsoma, nikampa namba ya wale wadada waonatoa ushauri nasaha. Kilichompata huko kaahidi kuniharibia. Hapa nilipo nimemuandikia aunt yangu amsamehe lakini hataki kujibu, nampigia simu lakini simu inaenda voice mail, eti ukisikia mlio rekodi ujumbe wako, niko studio narekodi nimtumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…