Na ya kwangu auntie [emoji847] au ndio umeshazeeka na kusahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka kunisingizia nini? Nyie kama mlibebana huko mie sijui, ila mahari nilikula ni ya mmoja tu.
Mimi apa jamani [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Una ufala mob
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka kunisingizia nini? Nyie kama mlibebana huko mie sijui, ila mahari nilikula ni ya mmoja tu.
Hana hiyo nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Guna tu na watoto wameshazaa wenzio
Tena wewe usinikumbushe machungu. Mahari which,where,who?Na ya kwangu auntie [emoji847] au ndio umeshazeeka na kusahau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaa!
Wakati wenzangu wanapewa wakwe, mi sijui nilikuwa wapi shubamiti zangu
Ubarikiwe Sana babaKatibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete mahari labda tofauti zetu zitaisha.
Filikunjombe mkubwa wewe!!Ukiona mahari nyingine ujue hiyo nakuja kubeba hadi mkwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nani tena nimefanana naye[emoji3526]
'Duniani wawili wawili', siku ya leo umeongea maneno kama haya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wewe usinikumbushe machungu. Mahari which,where,who?
We na kikuu wako nawazoom tu.
Mkuu kaanza mwanzo auntie umeona wenzioUbarikiwe Sana baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpaka mkwe anabebwa hii kaliUkiona mahari nyingine ujue hiyo nakuja kubeba hadi mkwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kaanza mwanzo auntie umeona wenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nani tena nimefanana naye
[emoji23][emoji23][emoji23] we mzee kwamba ushawahi nionaBasi kweli duniani wawili wawili...
Kuna dada umefanana naye hatari, nimekutana naye asubuhi ya leo ikabidi hadi nimuulize jina
Sikuachiiii kaanze mwanzo na wewe utuambie makapuku inahusu nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niacheeee
Aiseee!! Kumbe lilikuwa la shari shari hivyo[emoji134][emoji134][emoji134]Sikuachiiii kaanze mwanzo na wewe utuambie makapuku inahusu nini
[emoji23][emoji23][emoji23] we mzee kwamba ushawahi niona