Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Duuuh ngoja nikwelewe kwa ujumlaUmeniangushaa hapa
Poleni sana.Hongera kwa mvua sisi jua linawaka mpka kutoka nje ni shida
AsantePoleni sana.
Salaam kaka ake za weweDadake za hapo ulipo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moyo wangu umeamkaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieeeeee
Asante sana we mzeenimekuwakilisha shangazi
[emoji1787][emoji1787] kwamba hujui we mzee auhv 'laazizi' maana ake nn
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyongo mkalia ini[emoji1787][emoji1787]
Kashapatikana[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaha .ni kweli sijui shangazi, maana ake nn,? Niambie[emoji1787][emoji1787] kwamba hujui we mzee au
Nasikia raha sanaKashapatikana
We mzee si umeshajibiwa hapo. [emoji1787]hahahaha .ni kweli sijui shangazi, maana ake nn,? Niambie
Njema kabisaSalaam kaka ake za wewe
Dadangu pole na Man uNasikia raha sana
Kuna matokeo huweki.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisubiri hayo matokeoKuna matokeo huweki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nisubiri hayo matokeo
[emoji23][emoji23][emoji23]sawaKwahiyo mimi mkate!! Kichwa kama kijiko.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapana, kuna mahali pia niliyaona mtu akiambiwa[emoji848][emoji848]