Babe hujalala tu?Naona dalili za vita ya tatu ya dunia
Ila nini babe?Ila........
Simchongei Auntie...Kwahiyo umeamua sasa umchongee
Baridi jingi leo..aingii JF kabisa[emoji23]Shem square ...anko wangu umemficha wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchele ukija sikugawii, babe wangu ataninunulia simu ambayo haina tunda[emoji126][emoji126][emoji126]
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo..Mungu which!! Hebu acheni kumuhusisha Mungu na mambo ya kijinga.
Hayakuhusu[emoji23]Mnamuongelea nani?
Shem[emoji28]Woiiiiiii namba ya nyumba mpya sina
Baaadaye ukaifuta siyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha ya zaman nilikuwa nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikose iphone 13 na luku inishinde kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunamuongelea Eroni
Kwanini Mndali?[emoji23]Naona dalili za vita ya tatu ya dunia
He he he he...Ndio nani huyo?
Umealika mtu aje kuona kinacho endeleaKwanini Mndali?[emoji23]
Mpendwa wangu yule..hana madhara..Umealika mtu aje kuona kinacho endelea
Alihama jaman🤣🤣Baaadaye ukaifuta siyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem darlingShem[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii ya kikuu babe wangu anaonekana haaminikiKikuu[emoji1787]
Leo hajulikani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio nani huyo?
Kina maana hiko auntie sio bure nakujua vizuri tuKicheko tu auntie.