Hahahhaha basi na hii itabidi tu uwe nayoHahahaha ya zaman nilikuwa nayo
Nikose iphone 13 na luku inishinde kweli?Hahahhaha basi na hii itabidi tu uwe nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mimiNikose iphone 13 na luku inishinde kweli?
Cheka tu huna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka mimi
Babe wako tapeli woooi! Bora wangu[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti
Ndio.Kwamba auntie huelewi
Teh teh teeeeeeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mimi hivi ya zamani ulikuwa nayo nitumie basi nitanunua mwenyewe kwa mpesa
Utapeli wa babe wangu nini nini jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Babe wako tapeli woooi! Bora wangu[emoji1787]
Tunamuongelea EroniNdio.
Auntie niambie kinachokucheshaTeh teh teeeeeeh!
Naona dalili za vita ya tatu ya duniaNimekuita kwa wema Shem...
Usije kunilalamikia baadaye....
Na halafu hapa hakuna kapuku hata mmoja. Unatujua vizuri wewe?[emoji28][emoji28]( kidding)
Kweli nimejua siku hazigandi uhalisia huonekana[emoji23]Ananilalamikiaga sana huyo...
Ananiambia mimi najua mambo yake mengi eti namficha...
Leo nimeona nimuite tu..
Hata mi nimeshangaaaKwahiyo umeamua sasa umchongee
Ila........Mchele ukija sikugawii, babe wangu ataninunulia simu ambayo haina tunda[emoji126][emoji126][emoji126]
Kikuu[emoji1787]Utapeli wa babe wangu nini nini jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nani huyo?Tunamuongelea Eroni
Kicheko tu auntie.Auntie niambie kinachokuchesha