He he he..Acha siyo kitu poa Shem...Ili nikupongeze inabidi utupie huo uzi wako, Ila najua hutapendeza, uzi wenyewe umejaa bidhaa za mo sabuni, mo mafuta..mo..kila kitu[emoji23]
Ili nikupongeze unajua unachotakiwa kufanya, mimi hata sikukumbushi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupongeze buana...Ule Ushindi wa Taifa ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba guvu moyaaaa. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eenh auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliacha mbachao kwa msala upitao Auntie?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina mayele hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo moyaaa nimecheka etiii..
Mmmmmh!!!! Hebu acha hizo...Hahaha, mpendwa wangu![emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nipo kwingine Ila sio kwa makapuku[emoji23][emoji23]
Kiruuuuuuu!!!!!!Ili nikupongeze unajua unachotakiwa kufanya, mimi hata sikukumbushi.
Basilisheni tu bwana!Mmmmmh!!!! Hebu acha hizo...
Ndiyo Mpendwa wangu...Au tubadilishe jina? Najua unatujua vyema[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eenh auntie
Msitukere hakyanani, wiki hii hata kodi ya mezani hampati..Simba rahaaaa sanaaaaaa [emoji847]
hahahaha,hongereni ssc.mkutane na ndugu zangu tp mazembe sasaMzee mtu chake nakuona tu leo umegeuka mkwepu jr tupe hata pongezi basi ya kuingia robo fainali [emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakina mayele hao
Eti badilisheni...Nye nye nye za nini?Basilisheni tu bwana!
Tafadhali wiki hii msitukere..
Saaaaaaana....Simba rahaaaa sanaaaaaa [emoji847]
Na hata ile ya nani na nyie hampati[emoji23]Msitukere hakyanani, wiki hii hata kodi ya mezani hampati..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najua nitakimbilia wapi!!Eti badilisheni...Nye nye nye za nini?
Uje uanze zile zako za Shem tunafanyaje sasa?[emoji2]Nasemaje sasa hivi utapambana na hali yako...
Tuone nani ataumia[emoji23][emoji23][emoji23]Na hata ile ya nani na nyie hampati[emoji23]
Ngoma troo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najua nitakimbilia wapi!!