...ha hahahaa, mambo ya mamiziki pale mtu anayekupa hamasa uperform anaanza kukusema vibaya
Ooooooh.. Mwandiko niliushtukia mapema sana.Hahaha!nakua mpole maana kuna mtu namheshimu sana na kuniamini sasa Mimi nikiongea ntaongea kwa ushahidi afu mambo yatakua meusi sasa!!!!!afu Id yenyewe naijuashoga kumbe anajifanyaga mtuu!!kumbe mnaafiki na I'd 2,Leo mwanaume kesho mwanamke
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kuna mtu Mods wamepita naye....
He he he...
reymage faida za kukaa kimya umeziona? Naona na comment baadhi zilianza kufutwa
nafikir hvyooo!!atarudi kivingine yule maana anatafuta la rohoni watu!!
Wamepita nae!ila nilikua namheshimu sana shogaa kumbe mnaafiki vile kaahh!!
Naona kwa sasa ataingia na I'd yake nyingins
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yaani acha kabisaa sikutegemea kabisaaOoooooh.. Mwandiko niliushtukia mapema sana.
Then Babe akawa analike Comment
Simu ninayo mimi mpka kesho
Mwenzangu!!! Tukaanza kutukanwa na sehemu zetu nyeti utadhani anazijua
Yashaisha achaneni nayobalaa kabisaa yaani ujue nilikua nacheka sana !ila mi sipendagi ugomvi sana napendaga sana amani ila ugomvi nauweza mnooo!!!
Ametafuta shaari kachokaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Byeee!ahsanteni ,nilikuja kwenye kuongeza siku za kuishiYashaisha achaneni nayo
Mnawafanya wenzio wale banByeee!ahsanteni ,nilikuja kwenye kuongeza siku za kuishi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Rudi hapa
Bina mambo yanaenda kasiKaribu Niko hapa kwenye down msalato aka stooo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Aaaaah!!! Shem....Simu ninayo mimi mpka kesho
Afadhali ya wewe unapenda Amani na Ugomvi unauwezabalaa kabisaa yaani ujue nilikua nacheka sana !ila mi sipendagi ugomvi sana napendaga sana amani ila ugomvi nauweza mnooo!!!
Ametafuta shaari kachokaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Aliyataka..Mnawafanya wenzio wale ban
Namfanyiaa massageAaaaah!!! Shem....
Si kumekuwa shwari sasa jamani?
Aunt mnonko asijue kabisaAliyataka..
Na karne hii matusi yote yale ya nini?