Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapendwa wangu!!!
Muwe na Usiku mwema...
Nawapenda sana.. Mbarikiwe...
Nilale mie nisije kudanganya kesho.. Maana Espy Eroni ananipanga mbinu zake.. naona saa hii kwangu zimeanza kuchuja...
Good night guys..Baraka tele
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kweli we wa vyuma chakavu, hata mitaa ushaisahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23]sema Amina basi...Wacha bwana!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo katakushibisha auntie [emoji1787][emoji1787] kitu sitaki matani nacho ni kwenye njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka nina ka ice cream kalibaki. Katanisogeza hadi saa 12 asubuhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kununua gold kikuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui hata.. Unataka kufanyaje ndani kwa mwenzako?
Huwezi utaanzaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naihama auntie[emoji1787]
Tunakupenda pia auntie [emoji8]Wapendwa wangu!!!
Muwe na Usiku mwema...
Nawapenda sana.. Mbarikiwe...
Nilale mie nisije kudanganya kesho.. Maana Espy Eroni ananipanga mbinu zake.. naona saa hii kwangu zimeanza kuchuja...
Good night guys..Baraka tele
Akuu!![emoji23]sema Amina basi...
Ukajifanya mzungu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo katakushibisha auntie [emoji1787][emoji1787] kitu sitaki matani nacho ni kwenye njaa
Kuna siku nilijifanya kulalia matunda kilichonikuta Mungu anajua