Makapuku Forum

Penye wengi kuna mengi..

Humu unaweza sikia kitu cha kuhusishwa nacho mpaka we mwenyewe ukashtuka hiki ni changu kweli au wamekosea jina!!

Muhimu ni kupotezea, ukiona ni too much unalala nae mbele tu
D huyu dada kazidi ujue sio mara moja kila siku shunie yaani anikome anikome mbwa huyuuuu
 
Hahahahaha hapo mwishoni😅😅😅😅
 
Auntie!!!..
Hebu mpotezee Mama...Atakupotezea muda wako tu..
Kwamba mambo ya Ukimwi tena? Mbona ni kama Issue za kitoto sana Aunt akee?

Hivi wanakujua vyema lakini?
Hawajui ni vile siku hizi umeamua tu kutulia zako hapa Makapuku? Hawajui zama zile uliwahi kumfanya mtu akimbie ID hadi leo

Nacheka jamani...BTW..Potezea Auntie..
 
yaani auntie watu wananichokonoa na habari zao za kutunga ujue halafu sina mda nao mbwa hawa


Yaani kama thread nitaweka pamoja na chart zake si anataka thread nitamfurahisha shenzy huyu

Nimejitulia zangu makapuku watu wananifata fata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…