Niliforce kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie niache na chaka langu la zamani yaani kama namuona auntie Espy Eroni nimesema maswali sitakiiii
Nilikumention kabla ya hapo nikaona kimya auntie yangu
Hahahahahahaha alijuaa namba DZ...Hahhaha hivi auntie unajua kama Lee alikuwaga mubabe zamani naona tumeamua tusogezane tena karibu [emoji23][emoji23][emoji23] muulize tu baba wawili atakupa majibu yote me maswali sitaki jamani yaani sitaki
Roho yangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]Babeeee
HahahahahaBabe usimsikilizeew huyoo
Alijifanya hajasikiliza wimbo wa alikiba ...chake lake ni lee
Pole babeNiko hapa nimelala fofofooooo....safariii hii imenifanya nisikuonee leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieeee aione sakayo hii nakoma mimiShonaaaa nguo
Naaam [emoji847][emoji847]Lee wa shuny ni mmojaaaa....tokea enzi za queen of sh
......
Huyu ndo shunie wa lee.....Niliforce kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie niache na chaka langu la zamani yaani kama namuona auntie Espy Eroni nimesema maswali sitakiiii
Niko hapa mcutee wanguu ...nakupendaa mpaka najionea wivuuRoho yangu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Asantee babe ,,,pole na kaziPole babe
Hahahha alijua no mpyaHahahahahahaha alijuaa namba DZ...
Kama ninavyokupenda mimi apa babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Huyu ndo shunie wa lee.....
Wachaaa nikupendeeeeeee
[emoji8][emoji8][emoji8]Niko hapa mcutee wanguu ...nakupendaa mpaka najionea wivuu
Tantee babeAsantee babe ,,,pole na kazi
Hii namba A...sema tumetoka mbaliii...Hahahha alijua no mpya
Najuaaa tena unanipendaaa sanaaaaaKama ninavyokupenda mimi apa babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahah utulie sasa na uache ukivurugeHii namba A...sema tumetoka mbaliii...
Enzi za kuniitia boda wako anishushe kituon alafu eti tuachane hivi hivi