Pipi tena, tunataka kitu og, jani kama janiIkiwa ni miaka 25 sasa toka Bondia Mike Tyson kung’ata sikio la Bondia Evander Holyfield mwaka 1997 wakati wa pambano la ngumi, kampuni ya Tyson inazindua pipi za bangi, zenye umbo la sikio zinazoitwa "Mike Bites."
Kampuni ya Bangi ya Mike Tyson ilitangaza habari hiyo kupitia mtandao wa Twitter siku ya Jumanne tarehe 15 March ikisema kwamba pipi hizo zitauzwa katika zahanati za miji ya Massachusetts, California na Nevada nchini Marekani.
Tyson amekubaliana na idea hii ya pipi za bangi na kuandika “Masikio haya kwa kweli yana ladha nzuri”
Baba wawili Nigendako kuna ujumbe wako hukuView attachment 2153218
Kwahiyo baba wawili pipi hamzitaki tenaPipi tena, tunataka kitu og, jani kama jani
nimekumis sanaaaaaaa... tena sana tambua hiloNimekumiss eti
watu wamepindaa ujueHahahahaah
Mjombaa unaupiga mwingi hadi unamwagikiaSasa kama dada mtu anataka kwaito sisi wakina nani ...
Tufanye baada ya kwaresmaaaaaa....
na mjomba tafadhari undugu wetu utakufa ukiniharibia msimu huuMjombaa unaupiga mwingi hadi unamwagikia
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Nimekumiss eti
Niulizie basi baba wawili kwahiyo mjomba ako anataka kunioa auMjombaa unaupiga mwingi hadi unamwagikia
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
nakupendaaaaaaaaa.... thats my shunie[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ngoja nimuulize aise, kwa hii speed kutakuwa na jambo lake si bureNiulizie basi baba wawili kwahiyo mjomba ako anataka kunioa au
achana naee... hapo anajiuliza lee ana mganga gani wakati ni mapenzi ya dhatiIla baba wawili kama nakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha siwezi haribu mjomba, siku zote nakupigania ujuena mjomba tafadhari undugu wetu utakufa ukiniharibia msimu huu
kaa kwa kutuliaaNgoja nimuulize aise, kwa hii speed kutakuwa na jambo lake si bure
[emoji28][emoji28][emoji28] dakika ya 89 mjomba anaongoza 4-0Ila baba wawili kama nakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio na mimi ningeshangaaaHaha siwezi haribu mjomba, siku zote nakupigania ujue
[emoji28][emoji28]achana naee... hapo anajiuliza lee ana mganga gani wakati ni mapenzi ya dhati