Mwenyewe nampenda babe wangu kama anavyonipenda [emoji8][emoji8][emoji8] ule msemo wa wataachana kwa sasa hivi mbaki nao tu itajulikana mbele kwa mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tupeane raha tu maisha ndio hayahaya
Makapuku bila shunie hakuna makapuku. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utake usitake huo ndio ukweli nisipoingia makapuku hakuna kitu
Hivi najikutaga nani mimi shunie mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bwana hivyohivyo tu raha jipe mwenyewe kwanza