Simba naipenda ila kwa zama hizi kuifunga zaidi ya goli tano wale watu HAIWEZEKANI
We Lee boya tu, unaongea utopolo mtupuSimba naipenda ila kwa zama hizi kuifunga zaidi ya goli tano wale watu HAIWEZEKANI
Mzee wa kutuliza. [emoji23]Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela amekanusha taarifa za yeye kuzindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano.
“Nimeona article ya uongo ikisambaa kwenye mtandao ikionyesha nazindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za Siri za mfano “dildo” za mwanaume, napenda kukanusha habari hizi sio za kweli”
“Hiyo picha ilichukuliwa katika mafunzo ya kupambana na UKIMWI miaka minne iliyopita Chuo Kikuu Mkwawa, Msambazaji alikuwa na nia ovu tu juu yangu, nimemwagiza Mwanasheria wangu analifanyia kazi jambo hili” ——— View attachment 1791963
Hahahahaha mkuu , tuache kutiana moyoWe Lee boya tu, unaongea utopolo mtupu
Mjombaa unatakiwa upewe ulinzi mkali,umeongea ukweli mtupuSimba naipenda ila kwa zama hizi kuifunga zaidi ya goli tano wale watu HAIWEZEKANI
Kwema Shunie?Mbunge wa zamani wa Bunda, Mara Stephen Wasira ni miongoni wa Wageni waliohudhuria Bungeni Dodoma leo kutazama shughuli mbalimbali za Bunge zikiendelea. View attachment 1792769View attachment 1792770
Kwema baba wawili za weweKwema Shunie?