" Nahitaji nafasi kua peke yangu" Kusikia neno hili kutoka kwa mwenza wako linaweza kujenga hofu, wasiwasi, na uoga lakini kulingana na utafiti hupaswi kuwa hivyo, kumpa nafasi mpenzi wako ya kua peke yake angalau kwa muda mchache inasaidia kuimarisha mahusiano yenu vizuri na sio vibaya.
.
.
JE! WEWE ULISHAWAHI KUAMBIWA NA MPENZI KWAMBA " BABY LEO LEO NAHITAJI NAFASI NIWE PEKE YANGU?"
He he kibongobongo hii mmeshaachana akili kichwani mwako