He heDo the needful...
Ebu nitajaribu kumuiga kama nitawezaHua hangaaikagi na simu yake anapokua na rafiki yake... [emoji28]
Unaweza chukua simu yake na kuifanya chochote na usikute chochote kibaya...
Anaweza...sema nini hajijui kama ndiyo yeye...Ebu nitajaribu kumuiga kama nitaweza
Sema kweliAnaweza...sema nini hajijui kama ndiyo yeye...
Hii ipo poa sana“Mtoa huduma ataweka utaratibu au mfumo wa kumwezesha Mtumiaji wa huduma kuhamisha uniti za kifurushi kwenda kwa Mtumiaji mwingine ndani ya mtandao wake kwa masharti ya kiasi cha chini kuhamisha kitakuwa 250 MB”- TCRA
Hapa kidogo nimewaelewa [emoji16]View attachment 1717074
Sanaaaa babe wangu ajiandae kunipunguzia mb [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ipo poa sana
Yeesuu na Maria tena...Sema kweli
Je kama babe wako hatumii MB yeye ni mwendo wa bandwidth (Wifi) popote inakuaje hapo?Sanaaaa babe wangu ajiandae kunipunguzia mb [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo imekula kwangu [emoji6]Je kama babe wako hatumii MB yeye ni mwendo wa bandwidth (Wifi) popote inakuaje hapo?
HhahahahaYeesuu na Maria tena...