Niliweka kambi mmu toka juzi ndio maana nilishindwa kuwawekea magazeti
Nilikuwa kwenye thread ya baba na mchepuko wake
Nyie wanaume tulieni na wake zenu michepuko inakuja kwenu kimaslahi hela zikiisha au zikipungua utajua tabia zake zote kama kweli alikuwa anakupenda