Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe ukikopeshwa songesha ndio ipo hivi ukiweka hela tu kwenye mpesa wanakata

Yani nilikuwa sijui mimi nisingeweka hela kabisa

Haya mambo tigo hayapo kabisa unalipa mwenyewe tu sio wanakata moja kwa moja kwenye tigo pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…