Shunie mama kipenzii ....Nisameheeeeeeeeeeeeeeeeee
Baba wawili mwambie mwenzio nipo na mahusiano mimiNiameheeeeee ndio nini sasa?
Jirekebishe kuandika kwanza,vinginevyo utabaki kwenye 'mkuu' hadi utakapo juu kuandika vizuri
Napindua mezaBaba wawili mwambie mwenzio nipo na mahusiano mimi
Na utambuee nakupendaa, nakotangatanga moyo upo kwako tuuBaba wawili mwambie mwenzio nipo na mahusiano mimi
Huyu "mkuu" huwa anaandika kwa mbwembwe sana!πππNiameheeeeee ndio nini sasa?
Jirekebishe kuandika kwanza,vinginevyo utabaki kwenye 'mkuu' hadi utakapo juu kuandika vizuri
Kwani hajui Shunie? Si ulishamwambia kabsa huko ulipo umeingia mzima mzima na miguu ukamuonesha uliyoingia nayo mazima...Baba wawili mwambie mwenzio nipo na mahusiano mimi
Napindua meza
Katika maisha haya ukipata mtu anakupenda usimchezee wala kumkorofisha tu bila sababu akiondoka ndio utajua umuhimu wakeNa utambuee nakupendaa, nakotangatanga moyo upo kwako tuu
Halafu si ana babe wake huyu baba wawiliKwani hajui Shunie? Si ulishamwambia kabsa huko ulipo umeingia mzima mzima na miguu ukamuonesha uliyoingia nayo mazima...
Anajitoa ufahamu
NishajifunzaaaKatika maisha haya ukipata mtu anakupenda usimchezee wala kumkorofisha tu bila sababu akiondoka ndio utajua umuhimu wake
Kuna wenzio wanasubiri tu umwachie wamdake
Uwe na mchana mwema
Jifunze kuandika kwanza, hata space kati ya neno na neno hauachi...Na utambuee nakupendaa, nakotangatanga moyo upo kwako tuu
Sema ana babe zake, anao wengiHalafu si ana babe wake huyu baba wawili
Usije kuharibuuHuyu "mkuu" huwa anaandika kwa mbwembwe sana!
Kumbe unampataHuyu "mkuu" huwa anaandika kwa mbwembwe sana!
Mjomba leo ndo ntajua ww ni ndugu yangu au hapanaKwani hajui Shunie? Si ulishamwambia kabsa huko ulipo umeingia mzima mzima na miguu ukamuonesha uliyoingia nayo mazima...
Anajitoa ufahamu
Sikio la kufaNishajifunzaaa
Kwani ntarudia ?
Hapana babe ulisema haitofika wiki na haikufika nmempa mzee wa churaHalafu si ana babe wake huyu baba wawili
Jifunze kuandika kwanza, hata space kati ya neno na neno hauachi...
Nilisema wewe sio mjomba wangu kabisaSema ana babe zake, anao wengi
Mkuu penzi jipya ni tamu sana!πππUsije kuharibuu