Leo taifa starz tupeni raha
Huyu ametuharibia timu
Madaraka ya kulevya
[emoji3590][emoji8][emoji8][emoji8]
Good morning LeeGood morning
Tunamshukuru Mungu tuko poa..Morning boss lady...
Kumekuchaa salama huko ?
Asante sana[emoji4]Sisi wazima kabisa karibu kwenye familia yetu hii pendwa
HahahahaIla uwe makini na Nigendako huwa anawasumbua wageni
Mzee wa chura huyo Behaviourist najua ushamzoea tabia zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote cha mtoto ila komesha ni anko wangu Obe usije ukamfungulia pm atakupigia mpaka jf call [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah!
Ana chura?Ila uwe makini na Nigendako huwa anawasumbua wageni
Mzee wa chura huyo Behaviourist najua ushamzoea tabia zake
Kule likes mtata Sana[emoji23][emoji23]Huku uwa anajifanya mkarimu nisijue ukikutana nae viwanja vingne
Sijajua ila hawez kosaAna chura?
Sina kabisa[emoji4]Ana chura?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaaaha apo hawez kukusumbua umemuweza
usimsumbueee mgeni wetu mkuu, ukikataliwaa kubariNilikuomba uwe mdogo wangu wa hiari ukakataa,sasa nitakuzodoa hadi ukome!