[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ebu ukoHiyo sehemu ina umuhimu mkubwa kwenye.mahusiano, hasa sisi wa Afrika.
Usije ukapuuza umuhimu wa.eneo hilo
Eti babe wake shunie anachosema moud ni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo sehemu ina umuhimu mkubwa kwenye.mahusiano, hasa sisi wa Afrika.
Usije ukapuuza umuhimu wa.eneo hilo
Vipi baba wawili unaendeleajeAsante Shunie!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama we mzee upooSalama humu ndugu zangu
Kidogo naanza kupata nafuu, vipi wewe? Uko poa Shunie?Vipi baba wawili unaendeleaje
Niko poa kabisa baba wawili umeenda hospital maana nasikia kuna corona za kimyakimyaKidogo naanza kupata nafuu, vipi wewe? Uko poa Shunie?
Leo nakuja ex babyNiko poa kabisa baba wawili umeenda hospital maana nasikia kuna corona za kimyakimya