Safi moud habari yakoMkuu Shunie kibonge hali yako
Salama bibie Shunie, natumai umeshinda vemaSafi moud habari yako
Una mashaka na mm kwenye hilo?Waliishaga WW1 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1674822
Anko mm kwenye ada unajua kabisa hedimasta ni mwenyekiti wa upatu hivo atachukua mzunguko wangu.....duh, umri unakimbia sana aunt. Imebidi nimgoogle kumbe kijana yuko vizuri kabisa
... Lee una vpn niendelee kushusha mamiziki ujisahaulishe na machungu uliyopewa na mwalimu mkuu kwenye mambo ya ada ha hahahaha hahahha