Makapuku Forum

Habari wakapuku wenzangu...nina jambo,,, na jambo lenyewe ni hili..

Atakaekuwa tayari ani P.M Inshaallah..

SIFA ZA MKE MTARAJIWA NINAYEMUHITAJI...[emoji171][emoji171][emoji171][emoji171]

1. Awe na hofu na MUNGU.

2. Awe na UPENDO[emoji176] wa kweli bila kujali hali ya mtu.

3. Awe na MOYO[emoji176] wa huruma na KUSAMEHE kwasababu hakuna binadamu aliyekamilika.

4. Awe na MAWAZO ya KIMAENDELEO na si mawazo Hasi.

5. Awe mwenyeji wa ZANZIBAR (Znzbar au Pemba).

6. Awe MUISLAMU thabiti.


SIFA ZA KIUMBO/KIMUONEKANO.

1. Awe na MIAKA 20-23.

**(Mimi nina 26 yrs)

2. Awe MWEUPE.

3. Awe MREFU.

4. Awe MODO (Si Mnene wala si Mwembamba...yani Saizi ya Kati).

5. Awe anapenda KUJISTIRI na Mavazi ya Heshima.

6. Awe na FIGURE[emoji177] (Hips Kidgo.. Mashaallah)

7. Awe hajawahi kuingia LEBA.

8. Chuchu saa6.[emoji177]

[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]


INSHAALLAH...Kwa Uwezo Wake Ntampata MKE MWEMA na Tunayeendana...%%

Amin.[emoji177][emoji527][emoji524][emoji287][emoji561]
 
Luis suarez = 40

C. Ronaldo = 35

Lionel messi = 26

Kubali kataa kiwango cha messi kinashuka sana laliga
Fuatilia vizuri soka mkuu acha habari za kusimuliwa.
Kabla ya Suarez, Messi alikuwa anacheza kama "false striker" lakini baada ya Suarez amekuwa akitokea deep row kama winga wa kulia. Hii imemfanya asiingie mara kwa mara eneo la hatari na kumfanya asitupie sana na ndo maana amekuwa ana assist zaidi.
 
Kiwango kinashuka kivip wakat assist machine ni yeye istoshe Messi anaanzia nyuma anapandisha timu
Kama huangaliag mechi za Barcelona piga kimya
J Jamaa hajui mpira!!!
Ni km Yanga mbele kuna Tamblwe & Ngoma lazima wagawane magoli ..Tambwe kamzidi Ngoma magoli lkn kiwango cha Ngoma ni balaaa.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
 
mkuu huyo asikuchanganye[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…