Makapuku Forum

Jichekee tu maisha ndio hayahaya matamu sana na mafupi sana ukipata nafasi ya kufurahi furahiii tu

Ukipata nafasi ya kupendwa pendwa tu

Ukipata nafasi ya kumpenda mtu mpende tu mshikilie usimwachie
Kweli kabisaaaaaaa

Kutana na lee kapuku wa kwanza kukubali msemo usemao ukiachwaa achika
 
Ujue sisi wanawake bwana tukichoka tumechoka

Nitakuvumilia tabia zako mwisho wa siku nikiondoka sigeuki nyuma ndio tupo hivyo nitajishusha sana lakini mtu akichoka amechoka

Msiwafanyie vituko umpendae jamani kama bado unampenda
 
Ushikaji ukishindikana mnahamia ukaka na dada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…