Hakuna namna ingineYaaaan mjomba akionaa hii sina pa kwenda ...kutoka baby sweetheart kipenzii kuporomokaaa mpaka mkuu
Wakina grace wamenifikishaa hapaMkuu tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TaratibuuuuuUkileta dharau moyo unakusahau. [emoji1787][emoji1787]
Yanaumizaaa lakiniiEeenh baba wawili jamani si ndio Max katutambulisha tuwe tunaitana hivi
Shangaaa na weweHahaha mjombaa atakuwa kayachanganya mwenyewe, huwa haumuit mkuu bwana[emoji28]
Kama mimi hapaUkimpata mtu anakupenda na kukujali mshikilie yaani mshikilie [emoji847][emoji8] siku ukimwachia tu utajutia sana na kumkumbuka
Nina wivuu lakiniHata tukilala na njaaa nakuona mpya babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mjombaa acha mambo yakoApia Shunie
WoooooooooiiiiiiiEeenh baba wawili halafu mwanaume baada akushikilie anakuachia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulikuambia, hukutaka kusikia mjombaa[emoji23][emoji23]Yaaaan mjomba akionaa hii sina pa kwenda ...kutoka baby sweetheart kipenzii kuporomokaaa mpaka mkuu
Sawa mkuu wa kaziHakuna namna ingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakujua mimi na uchochezi wako
Achaaa hizo mkuu huyu ni wangu wa mileleMimi kabisa huyu[emoji847]