Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Wa uchochezi we mzee
Wa uchochezi we mzee
Nimecheka ulivyouliza eti mpaka uko kunahitaji connection
Burudani ndio twende sasa RogieHapana sionji, fanya mpango nipate burudani yangu Shunie.
KaribuNimemis sana hili chimbo
Hahahaha, eeh nasikia mjini koneksheni tuNimecheka ulivyouliza eti mpaka uko kunahitaji connection
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Koneksheni hiyoo kwiooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana ndio maana nakukubaliMimi mbona kawaida yangu kulala mapema nilikuwa home tu mimi saa tatu teja kama nipo nyumbani tu
Eeenh bwana bila connection hauishi uku mjini kwetu
Hahahah asante we mzee
Asante ShunieKaribu