Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nipe vyote babe wangu hata visivyoonekana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] si unajua vile unavyonipatia eenh
Mimi ni wako na wewe ni wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kiboko yake shunie [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wa kwangu mimi apa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mashalaaah Rafiki ake Mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...bora umeuliza binamu, maana nimekuwa nikisoma Okonkwo oooh Okonkwo nikamuuliza anko Lee kama siku hizi anajiita Okonkwo , akasema hapana hajaanza kujiita hivyo. nikajua tu tayari anko wangu washamuotea na penati wamepewa. Kuna nini tena
Ankoo Lee ndio Okonkwo binamu, kama ujuavyo ankoo kwenye fursa huwa yupo vizuri sana...

Heshima yako binamu..
 
20200531_111240.jpg
 
Back
Top Bottom