Makapuku Forum

Ni furaha kuwaona wadau wema wakiwa jukwaani Bitoz , shululu , Jimena na wote.

ningendako najua ulikuwa na funga njema, sasa turejee kwenye kuvaa barakoa.

makaveli10 sijakuona hapa beach au ndo unataka kusema Kigamboni/mjimwema ni kubwa sana tusiweze hata kusheherekea pamoja!?

Shunie aunty yangu nakusalimia.

My Telemundo, wewe ni wa kipekee na itoshe tu kukuambia uko wa kipekee.

mkwepu jr swalama mdau!?

Lee anko wangu sasa hutakosa sababu ya kusingizia kuwa hupatikani, maana Mama Ashura alisema uko busy na mfungo. Anyway, nakukumbuka sana anko wangu.
 
Asante ankoo na wewe salam zako zipo
 
Asante sana binamu.. Barakoa inaendelea kama kawaida
 
Sijambo binamu yangu nashukuru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…