Makapuku Forum

Hata mi nilijisikia huruma sana huyu mzee wake wa shunie mkarimu sana jamani

Au ndio wale wanaume wanaonekana wakarimu hamjaanza mahusiano [emoji1787][emoji1787] ngoja muanze sasa gubu sio la nchi hii maugomvi kila siku
Hii inamuhusu shem lake kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mi nilijisikia huruma sana huyu mzee wake wa shunie mkarimu sana jamani

Au ndio wale wanaume wanaonekana wakarimu hamjaanza mahusiano [emoji1787][emoji1787] ngoja muanze sasa gubu sio la nchi hii maugomvi kila siku
Ni mkarimu sana huyo mzee, umri nao unachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…