...hata kama, ungetulia unadhani kuna mtu angejua? Unaona binamu
ningendako kajituliza anasingizia hana simu kumbe katekwa visiwa vya Madagascar.
Makubaliano tuyaboreshe ili ukiharibu nami niharibu. halafu anko, Mariam biriani kahamia wapi? Kakataa kuniambia alikohamia kwa kuwa wewe ndo umemuhamisha