Wakuu habari za Sunday..
Leo baada ya kunywa juice yangu ya ukwaju nikipoza hang over ya jana. Ghafla inaingia text ya rafik angu, Mkuu unamkojoza joza nani weekend hii...
Nimeangua kicheko mpaka msupa pembeni angu ambaye muda wote hakuwa na time na mimi akatabasam. Kichwani nikawaza na kutoa tabasamu kwa mbali, nikaanza changanua huu msamiati KOJOZA.
KOJOZA, KOJOZWA, KOJOZANA, KOJOZEA, KOJOZEANA ......
Bado napambanua hili neno adimu lenye ladha ya pwani ya Tanga. Tisa kumi usiombe mpenzi wako akojozwe na mwingine.
NB. Ukuje pole pole.
Ungabu haoni.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Man utd nao vyurayap ni lazima asepe
We hupendi?Unapendaeeeh???
Domo lakeUngabu haoni.....
Man utd nao vyura
Said Maulid SMG
Watakuua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Hakuna namna sasamnatutesa jamani inabidi tuombe poo
Said Maulid SMG
Nadjua ngombe ana tupe muteke ako na bien milkNeh!
mbona umekenua sana shem?Hahahahahahaaaaaa!
Maneno ya huyo bwana yamenifurahisha!mbona umekenua sana shem?
KumbeNadjua ngombe ana tupe muteke ako na bien milk
Vipi mrembo mbona kicheko??Hahahahahahaaaaaa!
maneno bila picha?Maneno ya huyo bwana yamenifurahisha!
Na picha pia.maneno bila picha?
NimefurahiVipi mrembo mbona kicheko??
teh teh tehKampa kampa tena
Jonax kapewa tena siku 7
Mh!!!....unazeymaaa???We hupendi?
alaa kumbe...basi sawaNa picha pia.