Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli nakwambia sasa unamtext mtu siku ya tatu leo hajafungua text na huku makapuku anakudanganya kama mtoto si ndio kuachwa kwenyewe baba wawili
[emoji23][emoji23][emoji23] usikute mjomba anajibu hizo text kwenye ile namba ya yule Shunny na sio Shunie..

Mjombaa hachelew kumix mafile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787] Baba wawili maisha ndio hayahaya ujue kuna mda na stress zangu sanaa yaani sana lakini kuna mda acha nifurahi tu ndio imeshakuwa hivi
Ni kweli kabsa, maisha ukiyafikilia sana lazima yakupe stress,unapo pata muda wa kufurahi kama hivi kidogo inakutoa kwenye lindi la mawazo na kukufanya ujione mtu mpya hata kama hauna kila kitu unajiona bonge la tajiri[emoji23][emoji23]
 
Acha kabisa huwa nasahau kidogo magumu yangu ninayopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…