Naupenda saana huu wimbo.....daaahTena tulikuwa na choir ya familia
Tuliimba wimbo wa salama rohoni/it is Well with my Soul from Tenzi za Rohoni
Yaani it was full of upakoooo
Next week karibu kanisani kwetuuu
Ukiwa busy sana ni matatizo watoto wanaweza kukusahau mkuu.Hapo hujasahau kusaidiwa mke na mamende kama sumbai.Hahaa
Ila kweli afadhali ujue hata kupumzika na familia ni shughuli muhimu
nilifikiri unamtaja le mtuz teh tehle Mendez*
Aah, mademu hao, jamaa yao alichezewa rafu mbayaaaa
Team vyura
........
Yah ni wimbo flan amazing sanaaaaNaupenda saana huu wimbo.....daaah
Ila kanisani unaona kama kituo cha policeNaupenda saana huu wimbo.....daaah
Asantant sanaTena tulikuwa na choir ya familia
Tuliimba wimbo wa salama rohoni/it is Well with my Soul from Tenzi za Rohoni
Yaani it was full of upakoooo
Next week karibu kanisani kwetuuu
God forbid
Mkuu ni karatiba kamebana dah.....Ila kanisani unaona kama kituo cha police
Sumbai buawana.
mvuto upi mkuuHata haina mvuto.
Aah, mademu hao, jamaa yao alichezewa rafu mbayaaaa
Sanaaa hasa kwenye worshipping songs sauti flan ya pili amazing...Asantant sana
Kumbe na wewe uko vzur kwenye ku imba!!?
Fulani wa ....babyHuyu atakuwa ni nani?
Nliwahi kuisoma historia ya mtunzi Wa huu wimbo ilinigusa saana.....Yah ni wimbo flan amazing sanaaaa
Naupenda sanaaa
losambo ikibinda nkoi?Motema na ngai, wapi bolingo yako mamii
Thafi thana themTena tulikuwa na choir ya familia
Tuliimba wimbo wa salama rohoni/it is Well with my Soul from Tenzi za Rohoni
Yaani it was full of upakoooo
Next week karibu kanisani kwetuuu
Yap ni yule jamaa alifiwa na familia na bado akakiri ni salama rohoni mwake...Nliwahi kuisoma historia ya mtunzi Wa huu wimbo ilinigusa saana.....
AnhaaaJina siwezi kumkumbuka, nilikuwa mtoto wakati anatoa huo wimbo, ila utube ukiandika 5 oclock utaupata