Abee..!! Halafu hivi wewe uliachwa au uliacha[emoji849]Usikubali kuachwa kifala weweeeh ukiachwa usiachikeee pambana
Kwamba nimeachwaKwan nmemaanishaaa nini ?
Sijachwa wala sijaacha huwa tunapumzishana tu
Asante dear nilikuwa na msiba nilifiwa na bibi yangu
Ooh pole Sana mamAsante dear nilikuwa na msiba nilifiwa na bibi yangu
[emoji2][emoji2]sawa hakuna cha peke yangu lakini Bora nisioneNa cha peke yako hakuna dada labda kaburi [emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Sent from my iPhone using Tapatalk