Nakuambia penzi limetaradadiii....
Aliituma kwa new bae dada!!
Ninayo, naachaje kuidukua etii
Hahahahaha
Mara ya kwanza kwenye uzi ule si ulikuwepoo?!
Ndo na mie nikajiengua mapeeemaa!! Sipendagi stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kujimwambafai [emoji1787][emoji1787]
MwenyeweHahahaa...
Hivi unaongea na nani lakini?
Watoto nawatafutia baba yaoNo..
Ushemeji upo bhana! Sakayo mama yake kina Naveen..heshima yake ipo pale pale bhana..
Sema ukweli banaIla hebu kuwa mkweli !
Sasa zingine tusimpe shetani mizigo.
Wewe ndio ulinipiga chini..
Ninayo ndiwooo...Yaaani ulisave ile pic..!
Nilifuta mbona
Itume hapa
HayaBhana...
Mimi ntakuja kuona wanangu...
Embu waache ufala hawa wanatuchanganya sasa aarrgh...[emoji23][emoji23]Jamani jamani na huku pia mbona mtatupata wengi naanzaje kuacha kula wali mimiView attachment 1296362
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Embu waache ufala hawa wanatuchanganya sasa aarrgh...[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu tabia yako ni mbaya!!Embu waache ufala hawa wanatuchanganya sasa aarrgh...[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli waache ufalaEmbu waache ufala hawa wanatuchanganya sasa aarrgh...[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona situmiwi sasaNinayo ndiwooo...
[emoji23]Watoto nawatafutia baba yao
Nautesa moyo vipi nakwambia nakuwa busySawa sawa [emoji23][emoji23][emoji23].
Ila kwa browser unautesa moyo tuu..
Kwangu haupo umeshaishaNo..
Ushemeji upo bhana! Sakayo mama yake kina Naveen..heshima yake ipo pale pale bhana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona situmiwi sasa
NakaziaKwangu haupo umeshaisha
Mwenyewe
Watoto nawatafutia baba yao