Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Wacha weeNimenunua ugomvi kifuatacho ni kumroga tuu hakuna namna sasa

Wacha weeNimenunua ugomvi kifuatacho ni kumroga tuu hakuna namna sasa

Nini tena mkuuEe bwana dah
Kwa hiyo ushamfanyia mambo niniUnadhani ni kwa ufahamu wake?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee leo watu wengi watabaki nyumaHuu mwendokasi nimekubali
Hapo tu sasa ndo nnapokukubali, fanya mambo yani mpaka heshima irudi safari hiiNimenunua ugomvi kifuatacho ni kumroga tuu hakuna namna sasa
Kwani mtu akikwambia bichi wakati hujalowana si matusi ya wazi hayo jamani![]()
Hajatukana buana.
![]()
Usianze mambo yako
Ngoja nimwambie ( ) Leo achangamkeAisee leo watu wengi watabaki nyuma
Kwani mtu akikwambia bichi wakati hujalowana si matusi ya wazi hayo jamani

Bora hata simjuiAnapenda sifa huyo sijui kama utamuweza cute b
AsanteeeeeeeeHapo sasa safi mwaaa
Kwa maana nyingine hujaiva inabidi upikwe walahi sikubali
We kibokoKwa maana nyingine hujaiva inabidi upikwe walahi sikubali

What a fantastic quote
Nani mkuuNgoja nimwambie ( ) Leo achangamke
Hakika kaka.What a fantastic quote