Makapuku Forum

...
Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala mtoto mlito..
...hebu niambie mtoto Mlito inamaana gani!?
Unajua sisi vijana wenye mambo ya kizee tunahitaji kujua lugha za kisasa.

Mimi hadi leo huwa nikiwa namuapproach mrembo namuuliza "....dada uko shega".....
 
Mtoto mlito binamu mtoto mmoja kibonge hiviiii na minyama yake kama mimi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…