Hakuna mwingine kama King hapa duniani na katika sayari zinginezo. Hail to the King [emoji122][emoji122]
Mbona nimefika sijaona hilo bango moud
....wewe utakuwa mwinyi sana. Unanikumbusha mitaa yangu ya LindiSiyo kweli, muda wote mwenyewe nilikuwa hapo nje nimevaa kikoi, furana na kibaraghashia nimekalia kiti cha uvivu, nasubiri wageni.
Wewe sijakuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hyo sijatekwaWw tena ndio usiongee kabisa si unajifanyaga umetekwa wewe
Shikamoo binamu....wewe utakuwa mwinyi sana. Unanikumbusha mitaa yangu ya Lindi
Kila siku nipo peke yangu nimechoka na mm
Mm nimeshatoka madarakani sasa sijui unamzungumzia jiwe gani
Hivi hizi habari chanzo chake nn au jarida au gazeti gani linajishulisha na utoaji wa takwimu.
Katekwa huyo
dada mpenziMtoto mlito where are u
[emoji16][emoji16][emoji16]Niaje Bro[emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu