Makapuku Forum

Pole sana binamu...unacheza namba ngapi binamu

....asante, mimi ni kocha mchezaji, beki ya kushoto wingateleza, namimina krosi dongo ukigusa goli.
Japo umri umeenda lakini club yangu imeniongezea mkataba wa miaka minne niendelee kutumikia.

Yaani binamu kama isingekuwa hizi bia za promotion ungeniona kwenye tv kombe la mataifa huru.
 
Haha sasa binamu mbona kama namba zote unacheza wewe...binamu utakuwa kiraka kama Mwanamtwa Kiwelu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…