Makapuku Forum

binamu hizo sio shutuma,tuliona kimya kingi tukajua umetekwa na Sepenga....

Ndio binamu,napenda matunda,naona umehamia kwenye kilimo cha matunda,,,kila la kheri huko hautadhurumia kama kwenye koroshow

....matunda naamini hawatanidhulumu, nimehamia huku, nilitaka kuanza kuuza mkaa lakini yule mkazi wa Kigamboni kawatisha wateja wangu nimeamua sasa nijikite kwenye matunda, mniombee
 
Heshima yako binamu usinitoe kwenye lengo la fursana,maana hayo mananasi unaweza singizia msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…