Makapuku Forum

Ujue kapuku ni jina tu sio watu ni makapuku, watu wa humu wana mahela


...kama mimi nina mahela hadi serikali imeamua kunikopa korosho zangu kwa kuwa wanajua sina shida ndogo ndogo.

Waulize kina Tumosa na binamu ningendako hawa wanajua nina hela na nikaaahidi atakayeniunganishia Wema Sepenga basi ninampa hela ya kununua Toyo mpya, cash bin taslimu
 
Hahahah umesahau na fursana binamu ya mama jj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…