Wanafamilia wa Makapuku nawasalimia katika sauti ya upole na unyenyekevu
InshaAllah twaingoja km tutakua wa wazima kuifikia
Yeyote atakaekuwa na kifungua kinywa tukaribishane
Halafu aunt Mary nani unampa shkamoo
Anhaa haya aunt Mary shikamoo jamani [emoji3]
Thijambo sikamoo ....[emoji124]Marahabaa mtt mzuri[emoji4]hujambo eti.?
[emoji23][emoji23][emoji23]Thijambo sikamoo ....[emoji124]
[emoji22][emoji22]thangazi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]shenzi kbs
Habari za siku marrybaby
[emoji22][emoji22]thangazi wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee ushaishaa we ni shangazi yanguKwaiyo ukewenza kusha kbs.?[emoji23][emoji23]
Salama Prince habari ya wewe.?
Njema njemaSalamaa kabisa za masiku
Kaka ake vibaya hvo