ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Alafu nasikia simu za Tecno ndiyo zakwanza kuzimwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuelekea 16/06/2016.
"SIMU FEKI KUZIMWA"
SHAIRI LA KUWAAGA BAADHI YA WADAU WA KUNDI HILI[emoji117] [emoji117] [emoji117]
Twahuzunika kwakweli,
Makamanda wa ukweli,
Kwa kuwaaga kwaheli,
Nunua nyingine rudi.
Hiyo ni kama ajali,
Simu yako si halali,
Kuwa nayo si kibali,
Nunua nyingine rudi.
Inaumiza ni kweli,
gharama kuikabili,
Simu yako kubadili,
Nunua nyingine rudi.
Hii ndyo serikali,
Meamua kubadili,
Simu ziso na kibali,
Nunua nyingine rudi.
Twakuhitaji kwakweli,
Kwenye kundi letu hili,
Twaliona pengo hili,
Nunua nyingine rudi.
Ndugu wala usijali,
Simu yako kubadili,
Mana si la kujadili,
Nunua nyingine rudi.
Huwezi kupinga hili,
Ni lazima ukubali,
Mana meshika makali,
Nunua nyingine rudi.
Mpendwa kila lakheri,
Kwa ya dukani safari,
Simu feki ni hatari,
UNAWEZA KUZIMIA...
............
[emoji482] [emoji8]Mie zote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Afya na [emoji485] [emoji481] pia
Jioni iko njema kaka, niaje kwako!Good evening
Ile nlipata sema nme itumia kwa fujo sanaaWewe ulipata mkuu.!!
YerewiiiiiiAlafu nasikia simu za Tecno ndiyo zakwanza kuzimwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi pole.Ile nlipata sema nme itumia kwa fujo sanaa
what wrong guys....did my words tourture u?Tena Atajiju.
Safi.
hazizimwi bhana anakutishj huyo, ilimradi kama umehakikisha sio fake na wala hukuiflashYerewiiiiii
Tutaandamanaaa
Umehakiki simu yako shemeji!?Yerewiiiiii
Tutaandamanaaa
Zinafuatia SIEMENSAlafu nasikia simu za Tecno ndiyo zakwanza kuzimwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa.... Yes No!what wrong guys....did my words tourture u?
Haizimwi hii shemUmehakiki simu yako shemeji!?
Ngoja mda ufike watazihakiki tu hahaaa...Umehakiki simu yako shemeji!?
Ila techno ya youngblood itazimwahazizimwi bhana anakutishj huyo, ilimradi kama umehakikisha sio fake na wala hukuiflash
if possible mkuu is just ur time tu....Mkuu naweza kurudi tena kukupungia????
Shem yako umehakiki??Ngoja mda ufike watazihakiki tu hahaaa...
Ndicho hicho hicho.Kilichokufurahisha
Habari yako brother.hazizimwi bhana anakutishj huyo, ilimradi kama umehakikisha sio fake na wala hukuiflash
zile tecno ambazo ukiwasha zinaandika jina jingine wana control+A then Enter kazi inakuwa imeishaYerewiiiiii
Tutaandamanaaa