Hahaha hahahaKivuli ukimaanisha kwamba kuna mshika dau mwengne?
Hapana baba Naaahh
Nataka zawadi nzuri jamani
Lile dude linalobebwa na Kontena...Dude la nini na wewe upooo..!
Najua hutaki kuniletea zawadi!
Mimi naelewa ,Hahaha hahaha
Nikisema kivuli ananielewa mwenyewe aki!
Hahaha hahahaLile dude linalobebwa na Kontena...
Tatufa clearing agent kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahahaMimi naelewa ,
Bony ndio kauliza na ndio haelewi..
Mueleweshe bony..
Sent using Jamii Forums mobile app
Achague mwenyewe anajua napenda niniSasa si ndio uiseme dada yangu, au anaijua usimpe wakati mgumu ndugu yangu iwe kama ana solve for x n y katika equation moja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...Hahaha hahaha hahaha
Ile ni siri yetu baba Naaah
Mkuu bila shaka ww ni zawadi tosha, hiyo nyingine ni nyongeza ya kibaba cha mafuta kwenye ndoo ya litre 20
Awww
Nisaidie basi baba Naah
Sema kweli baby T kivuli
Siku hizi umebadilika lakini?Achague mwenyewe anajua napenda nini
Siku hizi umebadilika lakini?
Unakumbuka kipindi kile tunagombana , Naenda kukunua zawadi kuuuuuubwa..
Nakuja nayo unasema huitaki , unataka chupi tuu..
Ila mapenzi jamaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tuache tuu ivo ivo!
Unarudi lini eti my T!