Sawa mkuu
Asante binamu uwe na kaz njema...nakumiss sana binamu mama JJ!
Hii Jumatatu, mambo matatumatatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nililipwa nusu binamu, zawadi yako subiri sikukuu ianze, watatumalizia mwezi huu walisema kwa hiyo uongo dhambi, nina mpango wa kuoa mke mwingine, jadi inaruhusu. Ukipata hela unaruhusiwa kuongeza mke, zikiisha mnaachana
Miss u tooNawamiss
EeeehhhMiss u too