Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,832
Huna shemeji huku bana... Acha kunizibia riziki
Geeez!!!!, riziki hiyo toka wapi tena ... wakija waambie mahari napokea mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha
Watakujaje kama hawajapitia kwako?!
Nielezee jinsi ulivyo mtoto mzuri !!?
Sasa si wataka idadi ya maombi ya kufunguliwa geti ya ongezeke ...
Mwisho wa siku utatusa babishia server za jf zi stuck bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Unichagulie basi mrefu
Unaenda wapi eti
Hahahaha, nawasalimu ,nakuwatakia Ijumaa njema,week end njemaAcha woga...
Si umesema tufungue geti?!
We muongo sana jamanii...Haha yaani tangu nilifungue mpaka leo .... ingekuwa mboga imesha chacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sijambo dada angu wewe je?Mdogo wangu hujambo
Thanks sisyMakapuku mpo wapi,miss u all
Shkamoo mkuuHahahaha, nawasalimu ,nakuwatakia Ijumaa njema,week end njema
MTC | 101| [emoji769]
Aahh .. yaani kama jinsi ulivyo vile ndio ume fanana na baba yako " basi ni wazi kwamba bimkubwa alikuwa na kazi nzito sana ya kumchunga baba asichukuliwe na manyaku nyaku wa staafuEwaaaaa
Ila babangu ndo sura ngumu zaidi
Abeeeeeee
Hahaa ... mzee wa ku-connect dots .... nakusalimia pia MkuuHahahaha, nawasalimu ,nakuwatakia Ijumaa njema,week end njema
MTC | 101| [emoji769]
Haaa Kama hamdai si uzembe wenuSisi tukilinda huwa anatulipa nani eti
Hahaha hahaha hahahaAahh .. yaani kama jinsi ulivyo vile ndio ume fanana na baba yako " basi ni wazi kwamba bimkubwa alikuwa na kazi nzito sana ya kumchunga baba asichukuliwe na manyaku nyaku wa staafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupenda sakayooooooooooo...!
Meli ni kubwa sana babe, naomba vitz tuuuNakupenda sakayooooooooooo...!
Sijui nikununulie meli ..[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kuthubutu " Yaani nikutese wewe ... haki nitachukiwa mpaka na kuku .... nikuelezacho ni kweli kabisa madameWe muongo sana jamanii...
Unaona raha kunitesa eeehhhh
Hahaha hahaha hahaha
Weee hayakuhusu we Kama dadaako anakupa shkamoo usitake nami nipeweWe nae unapenda ukubwa mfyuuu
Daah some body ...call me a doctor plaaseMeli ni kubwa sana babe, naomba vitz tuuu
Acha kucheza na akili zangu jamani....Naanzaje kuthubutu " Yaani nikutese wewe ... haki nitachukiwa mpaka na kuku .... nikuelezacho ni kweli kabisa madame
Sent using Jamii Forums mobile app