Heh,,hizi tafiti hizi,Wazungu wakaona weusi tunafaidi sana sioningendako shululu Obe wazee wa jani la kijaniView attachment 1038753View attachment 1038754View attachment 1038755
Hahaha lakini si bado mnafaidi baba wawiliHeh,,hizi tafiti hizi,Wazungu wakaona weusi tunafaidi sana sio
Sisi tunaonana vizuri tuHabari za cku makapuku wenzangu?nimewamiss mno kuna jukwaa flan wameniteka uko ila shunie hua twaonana nae sn huko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Marhaba aunt, uko salama lakini. Nimekumiss tu mimi wala Sina Jipya, vipi wewe Una Jipya?Binamu shikamoo

Ni njema mno
Sisi tunaonana vizuri tu
Hahahah kufaidi lazima shangaziHahaha lakini si bado mnafaidi baba wawili