Nipo poa dada ake,nyumban kwema hapo?Uko poa,kaka ake
Hilo la kunimiss mana mwisho inakuja nn tena baada ya kumissiana
Liko wapi pepo?
Waalike walioko Kilimanjaro...Uko si arusha msukuma
KupeanaHilo la kunimiss mana mwisho inakuja nn tena baada ya kumissiana
Sawa kabsa,acha binamu apambane na hali yake tu kwa kweliTeuzi ndio hiyo baba wawili kwa Mary huyo ni wako huyo ni chaguo lakoooo
Unaenda wapi rudi hapa binamu ajionee
Niko salama mm sijui wewe mm nipo darWaalike walioko Kilimanjaro...
Uko salama lakini?
Sasa jeee na ulokole ulionao si unakaribisha pepo hapoKupeana
Bro kwema???Waalike walioko Kilimanjaro...
Uko salama lakini?
Binamu apambane na abj wake na korosho zake za kuchorwaSawa kabsa,acha binamu apambane na hali yake tu kwa kweli
Binamu apambane na abj wake na korosho zake za kuchorwa
Kupeana sio kosa wala sio pepoSasa jeee na ulokole ulionao si unakaribisha pepo hapo
Niko poa bro. Huku ni nyumbani. Ndiko nilikofikia huku nilipoingia JF. Sema tu Shunie alizingua wakati ule. Angenidaka nikiwa mgeni mgeni sasa huvi tungekuwa tunaongea mengine. Naye eti hapendi Wasukuma kama kale kakimbaumbau ketuBro kwema???
Nmefurahi kukuona hapa
kabsa shangaz,sema haya maneno ungemalizia na Woiiiii,,,ingekuwa poa sana
Hakuna mlokole hapa hivi mnafanya mchezo na ulokole jamani Mungu hataniwiKupeana sio kosa wala sio pepo
Shunie
Woiiii halafu inafuatiwa na lile limoto likuuuubwaaaBaba wawili ujue unanifanya kama katuni wako woiiiii
Tatizo wewe unapenda vibonge wenye machura mm sina chura jamaniNiko poa bro. Huku ni nyumbani. Ndiko nilikofikia huku nilipoingia JF. Sema tu Shunie alizingua wakati ule. Angenidaka nikiwa mgeni mgeni sasa huvi tungekuwa tunaongea mengine. Naye eti hapendi Wasukuma kama kale kakimbaumbau ketu
We ni.mlokole?Hakuna mlokole hapa hivi mnafanya mchezo na ulokole jamani Mungu hataniwi
Hahhaha sasa hivi siwekiWoiiii halafu inafuatiwa na lile limoto likuuuubwaaa
Sio mlokole ila nampenda sana Mungu wanguWe ni.mlokole?