....eeeh, imekaribia maana leo ni jump day
....we waache tu, malipo yatamfuata kila mtu ahera
Nitaitumia muda ukifika, nikilipwa tu naanza kukuimbisha kiintaperunyua, watashangaa sana ukinipa nafasi
Tupumzike ss na hizi pic za wenye siksi paki[emoji114]Wenye six packs zenu mmesikiaView attachment 1014677
Ili kuendana na kasi ya kutoa shahawa mara 21 kwa mwezi ili waepuke matezi dume[emoji33][emoji33]Kama naona mende watakavyokuwa adimu jamaniView attachment 1014678